Mwenyekiti mtendaji wa KIVINET Mathia Mwingira akitoa maelezo mafupi kwa mkuu wa wilaya Dr Ibrahim Msengi kazi zifanyazo na shirika na shughuli kubwa ni VICOBA
Afisa miradi wa KIVINET ndugu Fadhil Isanga akijiandaa kwenda kwenye maonesho ya siku ya mwanamke duniani yaliyofanyika katika viwanja vya wazi vya stand ya mabasi moshi yaendayo mikoan.
Mratibu wa manispaa Rose Tesha akimkabidhi mgeni rasmi risala ya siku ya wanawake duniani mwaka 2014
wanawake katika maandamano ktika siku ya wna wake duniani wakiongozwa na brass band kuelekea katika viwanja.kwa nyuma bango la Kilimanjaro Vicoba Network (KIVINET) na kauli mbiu ya mwaka 2014 "CHOCHEA MABADILIKO KATIKA USAWA WA KIJINSIA"
KILIMANJARO VICOBA NETWORK (KIVINET) INAWATAKIA SIKUU NJEMA KWA WANAWAKE
UKIMUONA MWANA VICOBA WEEEEE!!!!! ACHA KUJILEGEZA