Monday, March 10, 2014

women day 2014

Siku ya wanawake duniani iliadhimishwa mkoa yote nchini Tanzania katika mkoa wa Kilimanjaro ilifanyika katika wilaya zake katika wilaya ya moshi mjini maadhimisho ylifanyika katika viwanja vya wazi vilivopo stand kuu ya mabisi yaendayo mikoani.Maadhimisho hayo yaliandamana na maandamano yaliohudhuriwa wanawake wa mkoa wa kilimanjaro.mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya moshi mjini Dr Ibrahim Msengi.Shirika la Kilimanjaro Vicoba Network (KIVINET) lilishiriki kikamilifu katika maadhimisho hayo kauli mbiu ni "CHICHEA MABADILIKO KATIKA USAWA WA KIJAMII" ifuatayo ni matukio katika picha;
Mwenyekiti mtendaji wa KIVINET Mathia Mwingira akitoa maelezo mafupi  kwa mkuu wa wilaya Dr Ibrahim Msengi kazi zifanyazo na shirika na shughuli kubwa ni VICOBA














Afisa miradi wa KIVINET ndugu Fadhil Isanga akijiandaa kwenda kwenye maonesho ya siku ya mwanamke duniani yaliyofanyika katika viwanja vya wazi vya stand ya mabasi moshi yaendayo mikoan.



Mratibu wa manispaa Rose Tesha akimkabidhi mgeni rasmi risala ya siku ya wanawake duniani mwaka 2014
wanawake katika maandamano ktika siku ya wna wake duniani wakiongozwa na brass band kuelekea katika viwanja.kwa nyuma bango la Kilimanjaro Vicoba Network (KIVINET) na kauli mbiu ya mwaka 2014 "CHOCHEA MABADILIKO KATIKA USAWA WA KIJINSIA"





KILIMANJARO VICOBA NETWORK (KIVINET) INAWATAKIA SIKUU NJEMA KWA WANAWAKE 
UKIMUONA MWANA VICOBA WEEEEE!!!!! ACHA KUJILEGEZA